Tufatilie hapa kupata updates zote zinazoendelea uwanjani
Vikosi vikipasha misuli moto tayari kwa mchezo.
Tayari timu zinajipanga kwa ukaguzi na mchezo kuanza.
Dakika ya kwanza - Simba SC 0-0 Al Zulfi
6 - Tunapata faulo inapigwa na Ahoua mpira unatoka nje
10 - Mpira unachezwa huku kila timu ikionekana kujiamini
11 - Mpanzu anampa pasi nzuri Chasambi ndani ya boksi na kupiga shuti la chinichini linadakwa na kipa wa wapinzani
21 - Morice anachezewa rafu nje ya boksi na kuwa faulo
Kibu Denis anapiga mpira unaenda nje
22 - Tunaendelea kuwashambulia
23 - Semfuko anachezewa faulo nje ya boksi
24 - Jean Charles Ahoua anapiga faulo inayaomshinda kipa wa timu pinzani
24 - Simba SC 1-0 Al Zulfi
28 - Wapinzani wanafanya shambulizi la kwanza kwa kupiga shuti dhaifu linaishia kwenye mikono ya Camara
30 - Water Break kutokana na hali ya hewa
32 - Mchezo unaendelea
37 - Mpira unaendeleq tukiwa mbele kwa bao 1
42 - Mpira unachezwa katika mwa uwanja
43 - Ahoua anatoka na kuingia Bashiru
45 - Mapumziko Simba 1-0 Al Zulfi
Kipindi cha pili kimeanza na mabadiliko ya wachezaji nane.
Kipindi cha pili kimeanza na mabadiliko ya wachezaji nane.
Alexander,
Kameta
De Reuck
Mligo
Karabaka
Awesu
Mukwala
Mutale
Waliobaki ni Mbegu na Chamou
50 - Bado hakuna shambulizi kali kwa timu zote mbili
60 - Anatoka Chamou anaingia Mashaka
65 - Karabaka akitokea pembeni anampa pasi Bashiru akiwa ndani ya boksi na kupiga shuti lilitoka nje
70 - mabadiliko
Wanatoka - Mbegu na Bashiru
Wameingia tena - Chasambi na Semfuko.
75 - Water Break | Mabadiliko anatoka Alexander anaingia Abel
80 - Mpira unaendelea bado tunaongoza bao 1-0
90 - full Time mpira umeisha tumeibuka na ushindi wa bao 1-0