Simba Sports Club
News

FT : SIMBA SC 3-2 CAMBIASSO

12 Jun 2022

Kikosi Kinachozana dhidi ya Simba

1.Beno 2.Israel 3.Gadiel 4.Wawa 5.Henock 6.Nyoni 7.Mhilu 8.Kanoute 9.Kibu 10.Bwalya 11. Sakho

Kikosi cha Cambiasso

1. Bruno 2.Francis 3.Mohamed 4.Abubakar 5.Shaban 6.Omar 7.Ahmed 8.Said 9.Simon 10. Ally 11.Charles

01 - Mchezo umeanza

02 - Kibu Denis anaandika bao la kwanza kwa pasi ya Sakho

06 - Simba 1-0 Cambiasso

10 - Sakho anakosa goli akiwa na kipa

15 - Msuva anamchezea faulo Israel mpira unapigwa kuelekea Cambiasso

23 - Krosi ya Sakho inaokolewa na Mohamed Omari Beki wa Cambiasso

30 - Kanoute anakosa goli la wazi

32 - Erasto Nyoni analitawala dimba la kati vizuri

36 - Kibu Denis anandika goli la pili baada ya kupokea pasi nzuri ya Kisigino kutoka kwa mhilu

38 - Simba SC 2-0 Cambiasso

40 - Simon Msuva anaiandika Cambiasso goli la kwanza

Advertisement

41 - Simba SC 2-1 Cambiasso

45 - Kanoute anaandika bao la 3 kwa krosi ya Israel Mwenda

Mapumziko Simba SC 3-1 Cambiasso

Mabadiliko - Anatoka - Henock, Wawa, Sadio, Gadiel, Kibu, na Sakho

Wanaingia - Onyango, Mzamiru, Kennedy, Hussein, Jimmyson na Taddeo

Kipindi Cha pili Kimeanza - Simba 3-1 Cambiasso

47 - Taddeo anaokoa inakuwa Kona kwa Cambiasso

55 - Cambiasso wanapiga kona wakiliandama lango la Simba

59 - Kipa wa Cambiasso anaucheza vizuri mpira uliopigwa na Bwalya

64 - Beno anatoka anaingia Ally Salim

70 - Mpira unachezwa kati kati ya Uwanja

75 - Cambiasso wanafanya mabadiliko - anaingia Rashid Ajibu anatoka Charles Msenga

78 - Simon Msuva anafumga bao la Pili kwa Cambiasso kwa kichwa

85 - Cambiasso bado wanalishambulia goli letu

Full Time - Simba SC 3-2 Cambiasso

Back to homepage
Share this story