Simba Sports Club
News

FT : Simba SC 0-2 Haras El Hadoud

27 Jul 2022

Tutakuwekea kila kitakachokuwa kinaendelea katika mchezo huo kupita hapa kwenye App yetu.

Kikosi kinachoanza dhidi ya Haras El Hadoud

1. Beno Kakolanya 2.Israel Patrick 3.Gadiel Michael 4.Joash Onyango 5.Henock Inonga 6.Jonas Mkude 7.Peter Banda 8.Clatous Chama 9.Moses Phiri 10.Pape Sakho 11.Augustine Okrah

Kick OFF - Simba SC 0-0 Haras El Hadoud

02 - Haras El Hadoud wanapata penati

03 - Haras El Hadoud 1-0 Simba SC

10 - Bado Tupo Nyuma mpira ni wa kasi

15 - Mpira unachezwa kati ya Uwanja

20 - Simba SC 0-1 Haras El Hadood

25 - Mpira wa Kuotea kwa Mlinzi Gadiel Michael akiwa anataka kwenda kusawazisha

30 - Mapumziko Ya Maji jua Kali Sana Cairo

36 - Israel Mwenda ameoneshwa kadi ya njano

40 - Mchezo unaendelea huku tukishambuliana kwa zamu

41 - Phiri anaumia na kupatiwa matibabu

42 - Phiri anatoka na anaingia Victor Akpan

43 - Mwenda anaotea akiwa tayari anaenda kufunga

Advertisement

Mapumziko - Haras El Hadoud 1-0 Simba SC

Mabadiliko - Gadiel Michael, Clatous Chama na Augustine Okrah Wanaingia - Nassoro Kapama, Erasto Nyoni, na Habib Kyombo

45 - Kipindi cha pili kimeanza

50 - Sakho anaumia na kupatiwa matibabu

51 - Sakho anarudi Uwanjani

55 - Haras El Hadoud wanapata bao la 2

57 - Mabadiliko - Joash Onyango na Jonas Mkude wanaingia Taddeo Lwanga na Jimmyson Mwanuke

59 - Peter Banda anakosa goli kipa wa Haras El Hadoud anaudaka vizuri mpira

65 - Tupo Nyuma kwa bao 2-0

70 - Anatoka Beno Kakolanya anaingia Ally Salim

Mapumziko ya Maji

75 - Bado tupo nyuma kwa bao 2-0

80 - mashambulizi yanaendelea tukiliandama lango la Haras El Hadoud

85 - Bado mambo ni magumu

90 - Mpira umemalizika kwa kukubali kichapo cha bao 2-0

Back to homepage
Share this story