Simba Sports Club
News

Fadlu, Ahoua wang'ara tuzo ya NBC mwezi Agosti

2 Sep 2024

Fadlu amewapiku, Patrick Aussems wa Singida Black Stars na Mohamed Abdallah wa Mashujaa ambao aliingia nao kwenye kinyang'anyiro.

Katika mwezi Agosti, kocha Fadlu ametuwezesha kupata pointi sita huku tukifunga mabao saba kwenye mechi mbili tulizocheza.

Advertisement

Kwa upande wake kiungo mshambuliaji Jean Charles Ahoua amechaguliwa mchezaji bora baada ya kufunga bao moja na kusaidia kupatikana kwa mengine matatu (Assist') katika mechi mbili tulizocheza.

Back to homepage
Share this story