Simba Sports Club
News

Fabrice Ngoma amepewa ruhusa Maalum

2 Sep 2024

Katika kipindi ambacho Ligi imesimama kupisha kalenda ya FIFA Ngoma atakuwa nchini kwao kwa ajili ya matatizo ya kifamilia.

Ngoma atajiunga na kikosi kabla ya safari ya kuelekea Libya kwa ajili ya mchezo wa hatua ya kwanza wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Al Ahly Tripoli utakaopigwa Septemba 15.

Advertisement
Back to homepage
Share this story