Kiungo mkabaji Jonas Mkude, amefunguka kuhusu maisha yake yote ndani ya Simba tangu alivyojiunga nasi miaka 12 iliyopita kutoka Hananasif Combine ya Kinondoni.
News
EXCLUSIVE: Mkude azungumzia historia ya maisha yake ndani ya Simba SC
28 Jul 2022