Miquissone amesema amekaa nje ya uwanja kwa miezi mitano hivyo ni muda wake wa kurudi uwanjani kuonyesha uwezo wake na kuisaidia timu.
Akizungumzia kuhusu ubora wa kikosi kwa sasa Miquissone amesema tuna timu imara na ushindani wa namba ni mkubwa na anatajia furaha itarejea msimu ujao.
Advertisement
Tazama hadi mwisho mahojiano haya ili kujua kitu gani amepanga kuwarejeshea Wanasimba baada ya mapokezi mazuri aliyopata.