Kagoma amesema Simba ni timu kubwa na wachezaji wengi bora wanasajiliwa kila baada ya muda lakini Uongozi umeona umuhimu wa kumuongezea mkataba mpya.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Kagoma ametoa maoni yake kuhusu msimu huu tulipo na tunapoelekea.