Simba Sports Club
News Videos

EXCLUSIVE: De Reuck ataja sababu ya kuongeza mkataba mpya

8 Mar 2026

De Reuck amesema tangu siku ya kwanza amepata mapokezi makubwa kutoka kwa mashabiki huku akifahamu kuwa Simba ni timu kubwa na ina ushindani ligi ya ndani na Afrika.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho De Reuck ametoa maoni yake juu ya nini kifanyike ili turudi kwenye kutwaa ubingwa.

Advertisement
Back to homepage
Share this story