CEO Zubeda amesema Simba ni timu kubwa na kutokana na maboresho makubwa tuliyofanya kwenye benchi la ufundi pamoja na kuongeza nyota wapya kwenye dirisha dogo ndio maana tumeweka malengo hayo.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho CEO Zubeda amefunguka mengi kuhusu maendeleo ya timu kwa sasa.