NBC walikuwa wa kwanza kutinga fainali baada ya kuwafunga Azania Bank kwa bao moja.
Kwa upande wao Equity wao wamefanikiwa kupata nafasi hiyo baada ya kuwafunga NMB mabao 2-0.
Advertisement
Bonanza hilo linaendelea katika Viwanja vya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ambapo muda mfupi ujao atapatikana bingwa wa michuano hiyo kwa msimu huu.