Simba Sports Club
News

Equity Mabingwa Simba Bankers Bonanza

6 Apr 2025

Equity ambayo ilikuwa kundi A pamoja na Amana Bank, Stanbic na NBC ilionyesha tangu mwanzo kuwa imedhaamiria kutwaa ubingwa msimu huu kutokana na kiwango ilichokionyesha kwenye kila mchezo.

Katika mchezo wa fainali timu zote zikishambuliana kwa zamu huku NBC nao wakitengeneza nafasi kadhaa za kufunga lakini walishindwa kuzitumia.

Advertisement

Mabingwa Equity wamepata medali za Dhahabu, Kombe, seti ya jezi ya Simba tunazotumia kwenye michuano Kombe la Shirikisho Afrika na tiketi za mchezo wa Jumatano dhidi ya Al Masry.

Back to homepage
Share this story