Simba Sports Club
News

Droo Ligi ya Mabingwa kupangwa leo

25 Jul 2023

Baada ya kukamilika kwa droo hiyo inayosubiriwa kwa hamu tutafahamu tunakutana na mpinzani gani.

Msimu uliopita tumeishia Robo Fainali lakini sasa tunaendelea na maandalizi kabambe nchini Uturuki kujiandaa na msimu mpya wa mashindano 2023/24 ili lililootokea lisijirudie.

Advertisement

Malengo yetu msimu huu ni kuhakikisha tunavuka hatua ya Robo Fainali.

Back to homepage
Share this story