Dejan amesema siku zote mashabiki wanahitaji kumuona mchezaji mpya akifanya vizuri mara tu akifika klabuni lakini licha ya kutofunga katika mechi mbili zilizopita hakuwa na shaka.
"Sikuwa na presha, nilijua nitafunga naamini uwezo wangu. Siku zote mashabiki wanahitaji mchezaji mpya afanye vizuri na iko hivyo duniani kote.
Advertisement
"Nimekuwa nikipokea ujumbe mfupi kutoka kwa mashabiki wakiniomba nifunge na baada ya kufanikiwa nimefurahi kama mashabiki walivyojisikia," amesema Dejan.