Simba Sports Club
News

De Reuck ameongeza mmoja Simba

8 Mar 2026

De Reuck alijiunga nasi mwanzoni mwa msimu kutoka Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini kwa mkopo wa mwaka mzima na baada ya kuridhishwa na uwezo wake tumemsajili moja kwa moja.

Tangu ajiunge nasi, De Reuck amekuwa mhimili mkubwa katika safu yetu ya ulinzi.

Advertisement

Sio kuzuia tu, De Reuck pia ameonyesha umahiri mkubwa kwenye kufunga ambapo mpaka sasa ana mabao matatu kwenye Ligi Kuu ya NBC.

Tunaendelea kuwaongezea mikataba mipya wachezaji ambao wapo kwenye mipango yetu kuelekea msimu ujao wa mashindano 2026/2027.

Back to homepage
Share this story