Phiri (49) raia wa Zambia amejiunga nasi akitokea Amazulu FC ya Afrika Kusini.
Akiwa mchezaji Phiri ameitumikia timu ya Golden Arrows ya Afrika Kusini pamoja na timu ya Taifa ya Zambia 'Chipolopolo'.
Advertisement
Phiri anaungana na kocha mkuu Steve Barker kuunda benchi la ufundi litakalo ongoza timu kwenye mashindano mbalimbali kuanzia sasa.
Tayari Phiri amewasili nchini na kujiunga na kikosi kilicho anza kujiandaa na michuano ya Mapinduzi.