Nyota hao ni Shaban Idd Chilunda, Abdallah Hamisi na Hussein Kazi ambao tunatarajia wataungana na wenzao leo usiku.
Wachezaji hao wanatarajia kuwasili kambini leo na kesho wataanza rasmi programu ya mazoezi.
Advertisement
Hata hivyo nyota hao wataanza mazoezi peke yao kabla ya kuungana na wenzao