Wadhamini wa Ligi, Benki ya NBC wamekuja na utaratibu wa kutaja mchezaji bora wa kila mchezo msimu huu na Che Malone ameibuka mshindi.
Che Malone amekuwa kwenye kiwango bora katika mchezo wa leo huku akifunga bao la kwanza katika ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Tabora.