Viungo hao washambuliaji wanatarajiwa kuwasili Ankara, Uturuki na kujiunga na wenzao leo usiku.
Nyota hao wataanza rasmi programu ya mazoezi kesho asubuhi chini ya kocha wa viungo, Corneille Hategekimana.