Simba Sports Club
News

Chama mchezaji bora wa mashabiki Desemba

4 Jan 2023

Chama amewashinda Nahodha John Bocco na mlinzi Shomari Kapombe ambao alikuwa ameingia nao fainali kwenye kinyang'anyiro hicho.

Katika mwezi Desemba, Chama amecheza dakika 540 akifunga mabao manne na kusaidia kupatikana kwa mengine saba.

Mchanganuo wa kura ulivyokuwa

Kura Asilimia

Advertisement

Chama 1829 54.52

Bocco 1415 42.18

Kapombe 111 3.31

Kwa kuibuka mshindi Chama atakabidhiwa pesa taslimu Sh. 2,000,000 na tuzo kutoka kwa wadhamini Emirate Aluminium Profile.

Back to homepage
Share this story