Simba Sports Club
News

Chama kujiunga na wenzake Uturuki

17 Jul 2023

Chama ataondoka pamoja na kiungo mkabaji, Fabrice Ngoma ambaye mchakato wa kupata vibali vya kuingia Uturuki unaendelea vizuri.

Wawili hao wakifika Uturuki itakuwa wachezaji wote tuliowasajili kwa ajili ya msimu ujao watakuwa wamekamilika.

Advertisement

Programu za mazoezi zinaendelea vizuri kwa sasa wachezaji wanafanya asubuhi na jioni.

Back to homepage
Share this story