Simba Sports Club
News

Chama kucheza mechi ya kwanza Uwanja wa Majaliwa

19 Apr 2026

Tangu Chama ajiunge nasi kwa mara ya kwanza katika msimu wa 2018/2019 hajawahi kucheza dhidi ya Namungo kwenye uwanja huo.

Namungo walipanda Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2019/2020 ambapo kwa takribani miaka sita sasa lakini kipindi chote hicho Chama hajawahi kukutana nao kwenye uwanja huo.

Advertisement

Kila ambapo tulikutana na Namungo katika Uwanja wa Majaliwa, Chama hakuweza kucheza kwa sababu tofauti iwe majeraha, au kutokuwa sehemu ya mchezo.

Back to homepage
Share this story