Simba Sports Club
News

CAF yazipitisha Tanzania, Kenya na Uganda kuandaa AFCON 2027

27 Sep 2023

Nchi hizo za Afrika Mashariki zimeamua kuungana kuandaa fainali hizo ambapo itakuwa ni mara ya kwanza kuandaliwa kutoka ukanda huu.

Tayari maandalizi ya nchi hizo yanaendelea huku ukarabati mkubwa wa viwanja ukifanyika na vingine vipya vikitarajiwa kujengwa.

Advertisement
Back to homepage
Share this story