Mpanzu raia wa DR Congo mwenye umri wa miaka 22 amejiunga nasi tukiwa na matumaini makubwa nae kutokana na kipaji chake kikubwa alichojaaliwa.
Msimu wa 2021/22 Mpanzu akiwa na AS Vita alikuwa mfungaji bora wa Ligi Kuu ya Congo ambapo alifunga mabao 15 na kutoa 'assisti' 17.
Advertisement
Tayari Mpanzu yupo jijini Dar es Salaam na atajiunga na kikosi wiki hii.