Simba Sports Club
News

Bodi yakutana Kutathmini na mipango ya msimu ujao

10 Jun 2023

Kikao hicho kimeongozwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi, Salim Abdallah 'Try Again' na Wajumbe wote wamehudhuria.

Miongoni mwa vitu vilivyojadiliwa ni pamoja na bajeti ambayo kuelekea msimu mpya wa ligi.

Advertisement

Kikao cha leo kimekuja siku moja baada ya Wajumbe wa Bodi kupewa warsha ya mafunzo ya uongozi.

Back to homepage
Share this story