Simba Sports Club
News

Bodi ya Wakurugenzi wapigwa msasa

9 Jun 2023

Mafunzo hayo yameongozwa na Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Wakurugenzi, Said Kambi Shaaban.

Wajumbe walioshiriki ni Mwenyekiti wa Bodi, Salim Muhene, Mwenyekiti wa klabu, Murtaza Mangungu na Mtendaji Mkuu wa Klabu, Imani Kajula.

Advertisement

Wengine ni Wajumbe wa Bodi, Asha Baraka, CPA, Issa Masoud, Seleman Haroub, Dkt. Muba Seif, Raphael Chegeni na Dkt. Rodney Chiduo.

Back to homepage
Share this story