Simba Sports Club
News

Bocco, Kibu kuongoza mashambulizi dhidi ya Coastal

31 Oct 2021 By simbasc 1,405 views

Nahodha John Bocco na Kibu Denis wamepangwa kuongoza mashambulizi katika mchezo wetu wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Coastal Union utakaopigwa Uwanja wa Benjamin Mkapa saa moja usiku.

Kaimu Kocha Mkuu Hitimana Thierry, amekuwa akiamini katika matumizi ya washambuliaji wawili kama alivyofanya mechi iliyopita dhidi ya Polisi Tanzania ambapo alianza na Medie Kagere na Kibu.

Kikosi Kamili kilivyopangwa

Advertisement

Aishi Manula (28), Shomari Kapombe (12) Mohamed Hussein (15), Joash Onyango (16), Henock Inonga (29), Sadio Kanoute (13), Hassan Dilunga (24), Mzamiru Yassin (19), John Bocco (22), Kibu Denis (38), Rally Bwalya (8)

Wachezaji wa Akiba

Beno Kakolanya (30), Israel Patrick (5), Kennedy Juma (26), Erasto Nyoni (18), Jonas Mkude (20), Yusuph Mhilu (27), Medie Kagere (14), Duncan Nyoni (23), Bernard Morrison (3).

Back to homepage
Share this story