Simba Sports Club
News

Bocco arejea uwanjani

27 Apr 2022

Wiki iliyopita Bocco alianza mazoezi chini uangalizi wa madaktari ambapo wamejiridhisha kuwa kwa sasa anaweza kufanya mazoezi hayo pamoja na wachezaji wenzake.

Bocco anarejea kipindi muhimu kuelekea kumalizia msimu wa ligi ambapo anahitajika kuongeza nguvu katika idara yetu ya ushambuliaji.

Advertisement

Baada ya Nahodha Bocco kurejea dimbani sasa anabaki mchezaji mmoja pekee kiungo mshambuliaji, Hassan Dilunga ambaye bado ni majeruhi na yupo nchini Afrika Kusini kwa matibabu na anatarajiwa kufanyiwa upasuaji vipimo vikikamilika.

Back to homepage
Share this story