Simba Sports Club
News

Bocco aanza mazoezi, mbioni kurejea uwanjani

15 Mar 2022

Bocco aliumia katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Dodoma Jiji Machi 7, ambapo alishindwa kuendelea na mechi.

Baada ya mazoezi ya gym Bocco ataanza taratibu mazoezi ya uwanjani pamoja na wachezaji wenzake.

Advertisement
Back to homepage
Share this story