Simba Sports Club
News

Benki ya Equity yadhamini Simba Day

1 Aug 2024

Equity imeungana na Bodi ya Utalii (TTB), Kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom katika kudhamini Tamasha letu la Simba Day.

Simba Day limekuwa Tamasha kubwa nchini ndio maana limekuwa likipata Wadhamini wengi.

Advertisement
Back to homepage
Share this story