Benchikha amesema tumecheza vizuri na kutengeneza nafasi katika mchezo ulioisha kwa sare ya mabao 2-2 dhidi ya KMC lakini tulishindwa kuzitumia.
Benchikha ameongeza kuwa ataendelea kukisuka kikosi katika michuano ya Mapinduzi na anaamini atakirejesha katika makali yake.
Advertisement
"Tuna kazi kubwa ya kufanya, tunahitaji kurudi katika hali ya kawaida na kupigania mataji."
"Timu inacheza vizuri lakini kuna vitu vinakosekana kama kutumia nafasi tunazo tengeza na hilo ndilo jambo tunapaswa tunalimaliza," amesema Benchikha.