Simba Sports Club
News

Benchi letu jipya la ufundi

5 Jul 2024

Fadlu amekuwa akifanya kazi pamoja na wasaidizi wake hawa kwa takribani miaka minne na klabu imeona ni vizuri kuambatana nao ili aweze kutupa kilicho bora.

wasaidizi wake wote kama ifuatavyo:

Kocha Msaidizi - Darian Wilken raia wa Afrika Kusini

Advertisement

Kocha wa Makipa - Wayne Sandilands raia wa Afrika Kusini

Kocha wa viungo - Riedoh Berdien raia wa Afrika Kusini

Mchambuzi wa mechi - Mueez Kajee raia wa Afrika Kusini

Back to homepage
Share this story