Simba Sports Club
News

Barker Kocha bora wa NBCPL Machi

8 Apr 2026

Barker amechukua tuzo hiyo kwa mara ya pili mfufulizo baada ya kufanya hivyo pia mwezi Februari.

Katika mwezi machi, Barker ametuwezesha kushinda mechi mbili na kutoka sare mbili huku tukipanda kwenye msimamo mpaka nafasi ya pili kutoka nafasi ya tatu.

Advertisement

Katika kinyang'iro hicho Barker amewashinda Pedro Goncalves wa Yanga na David Ouma wa Singida Black Stars.

Back to homepage
Share this story