Simba Sports Club
News

Barker Kocha bora wa NBCPL Februari

16 Mar 2026

Katika mwezi Februari, Barker ameiwezesha Simba kushinda mechi mbili na kutoka sare moja huku alionyesha soka safi na kuipandisha timu kutoka nafasi ya sita mpaka ya tatu kwenye msimamo wa Ligi.

Kwenye kinyang'iro hicho Barker amewashinda Pedro Goncalves wa Yanga na Florent Ibenge wa Azam FC.

Advertisement

Hii ni mara ya kwanza kwa Barker kunyakua tuzo hiyo tangu ajiunge na kikosi chetu Disemba mwaka 2025.

Back to homepage
Share this story