Simba Sports Club
News

Barbara atimkia Cameroon kushuhudia Fainali Afcon

4 Feb 2022

Hatua hiyo inatokana na mwaliko kutoka kwa Rais wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF) Patrice Motsepe.

Barbara ameondoka nchini hii leo kwenda Cameroon kushuhudia fainali hiyo yenye mvuto zaidi barani Afrika na duniani kwa ujumla

Advertisement

Klabu ya Simba inampongeza Barbara kwa kufanikiwa kutengeneza na kudumisha uhusiano chanya baina yake na wadau muhimu wa mpira wa miguuu sanjari na kutengeneza uhusiano mzuri baina ya klabu ya Simba na taasisi nyingine kubwa Afrika ikiwemo taasisi za mpira wa miguu.

Back to homepage
Share this story