Sakho alifunga bao hilo Februari 13, katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kwa acrobatic akimalizia mpira wa krosi uliopigwa na mlinzi, Shomari Kapombe.
Wachezaji ambao mabao yao yameingia tatu bora ni
Gabadinho Mhango (Malawi & Orlando Pirates)
Advertisement
Pape Ousmane Sakho (Senegal & Simba)
Zouhair El Moutaraji (Morocco & Wydad Athletic Club)
Tuzo za kutangaza bao bora ambazo mshindi atapatikana kwa kupigiwa kura nyingi zitafanyika kesho saa 3 usiku Rabat nchini Morocco.