Simba Sports Club
News

Banda arejea, aungana na wenzake mazoezini

13 Jun 2022

Banda ni miongoni mwa nyota wetu wa Kimataifa ambao walikuwa wanawakilisha nchi zao kwenye mechi za kufuzu michuano ya AFCON ziliyofanyika wiki mbili zilizopita.

Tayari Banda amefanya mazoezi asubuhi na wenzake katika Uwanja wa Mo Simba Arena kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi Mbeya City utakaopigwa Alhamisi Uwanja wa Benjamin Mkapa.

Advertisement
Back to homepage
Share this story