Timu imewasili nchini Afrika Kusini mchana qmbqpo wachezaji walipumzika kwa saa chache kabla ya kufanya mazoezi jioni ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya mchezo huo.
Kesho kikosi kitafanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa Orlando utakaotumika kwa mchezo huo saa moja usiku kwa saa Tanzania muda ambao mechi itachezwa.
Advertisement
Wachezaji wote waliosafiri wapo kwenye hali nzuri tayari kwa mchezo na hakuna aliyepata maumivu mazoezini.