Awesu amejiunga na kikosi chetu msimu wa 2024/2025 akitokea KMC kwa mkataba wa miaka miwili.
Awesu ni miongoni mwa nyota wenye vipaji vikubwa vya kucheza mpira na matarajio yetu atakuwa na mchango mkubwa ndani ya kikosi cha Polisi.
Advertisement
Simba inamtakia kheri Awesu katika kipindi chote cha mkopo atakapokuwa anaitumikia Polisi.