Simba Sports Club
News

Asante Mwanahamisi Omary

15 Jul 2025

Gaucho mmejiunga na simba Queens msimu wa 2018 ambapo alikuwepo kwenye kikosi kilichotwaa ubingwa kwa misimu ya 2019/2020, 2020/2021 na 2023/2024.

Msimu wa 2021/2022 aliondoka kwenda kucheza soka la kulipwa nchini Morocco kabla ya kurejea msimu wa 2024.

Kabla ya kwenda Morocco Gaucho alikuwa ndiye nahodha wa timu kwa misimu mitatu ambayo tulifanikiwa kutwaa ubingwa.

Advertisement

Gaucho anabaki kwenye vitabu vyetu vya historia yakuwa mchezaji aliyewafunga mabao mengi watani wetu wa jadi katika muda wote aliokuwa pamoja nasi.

Simba inamtakia maisha mema Gaucho baada ya kufanya vizuri nakuwa moja wachezaji tegemeo ambaye leo mkataba wake umefikia tamati.

Back to homepage
Share this story