Simba Sports Club
News

Alichosema Robertinho baada ya ushindi wa 3-0 dhidi ya Kipanga

2 Sep 2023

Robertinho amesema kwa jinsi hali ya kikosi ilivyo inampa moyo kwenye maandalizi kuelekea mchezo wa kwanza wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Power Dynamos utakaopigwa Septemba 16.

Robertinho amesema tumecheza vizuri zaidi ya wapinzani kwa kuanzia kuzuia, kushambulia na kutumia nafasi zilizopatikana kitu ambacho kinazidi kumpa moyo.

Advertisement

"Timu inazidi kuimarika, tumetumia wachezaji wengi wa kikosi cha kwanza na wamecheza kitimu na hilo ni jambo jema," amesema Robertinho.

Back to homepage
Share this story