Simba Sports Club
News

Ahoua mchezaji bora wa mchezo dhidi ya Fountain Gate

25 Aug 2024

Katika mchezo huo Ahoua amehusika na mabao matatu kati ya manne tuliyofunga huku akionyesha kiwango bora.

Ahoua amefunga bao moja na kusaidia kupatikana kwa mengine mawili (Assist).

Advertisement

Katika mchezo uliopita dhidi ya Tabora United, Ahoua aliisaidia kupatikana kwa bao moja.

Ahoua anakuwa mchezaji pili wa kikosi chetu kutwaa tuzo ya mchezaji bora msimu baada ya mlinzi wa kati Che Fondoh Malone.

Back to homepage
Share this story