Tangu tulipofika Visiwani Zanzibar, Ahmed na timu nzima ya Idara ya Habari haijapumzika ilikuwa inatembelea viongozi mbalimbali kwa ajili ya kutangaza mashindano pamoja na Utalii.
Ahmed na timu ya Idara ya Habari tumezunguka Ofisi za Serikali na Idara mbalimbali kwa ajili ya kuhamasisha Utalii pamoja na mashindano kwa ujumla.
Advertisement
Hii ni tuzo ya kwanza kwa Ahmed pamoja na Klabu kwa ujumla huku tukitarajia kupata nyingine baada ya kukamilika kwa mchezo wa fainali.