Simba Sports Club
News Videos

Ahmed awaita kwa Mkapa Wanavigunguti Oktoba 20

15 Oct 2023

Ahmed amesema ikifika Oktoba 20 kila Mwanasimba anatakiwa kufika kwa Mkapa ili kuisapoti timu kuing'oa Al Ahly na kuwaonyesha CAF kuwa hawajakosea kutupa ufunguzi mashindano haya.

Tazama video hadi mwisho Ahmed amezungumza mambo mengi huku akiweka wazi kwa sasa hatufanani na timu yoyote nchini.

Advertisement
Back to homepage
Share this story