Simba Sports Club
News

'Acrobatic' ya Sakho bao bora la wiki CAF

16 Feb 2022

Sakho alifunga bao hilo dakika ya 12 akimalizia mpira wa krosi uliopigwa na mlinzi wa kulia Shomari Kapombe.

Katika mchezo huo uliopigwa Jumapili iliyopita Uwanja wa Benjamin Mkapa, Sakho alionyesha kiwango safi ingawa alishindwa kuendelea na mechi kutokana na kupata maumivu ya mguu.

Advertisement
Back to homepage
Share this story