read

news & Articles

Timu yawasili salama Arusha

Kikosi chetu kimewasili salama jijini Arusha tayari kwa mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya KMC utakaopigwa Uwanja wa Sheikh Amri Abeid

Highlights: Simba 4-1 Geita Gold

Mchezo wetu wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Geita Gold uliopigwa Uwanja wa Azam Complex Chamazi umemalizika kwa kuibuka na ushindi mabao 4-1. Tazama

subscribe

sign up for our newsletter:

Get news straight from Simba SC