Mchezo wetu dhidi ya KMC kupigwa Sheikh Amri Abeid

Mchezo wetu wa mzunguko wa 29 wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya KMC utapigwa Mei 25 katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha.

Mtanange huo ambao sisi ndio wenyeji utapigwa katika Uwanja huo saa 10 jioni na tunategemea utakuwa mgumu kutokana na ubora wa wapinzani.

Tumeamua kuchagua Uwanja wa Sheikh Amri Abeid kutokana na Viwanja vya nyumbani tunavyotumia kuwa na ratiba nyingine.

 

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER