read
news & Articles

Ayoub Lakred yupo sana Simba
Mlinda mlango Ayoub Lakred amesaini mkataba mpya wa mwaka mmoja wa kuendelea kusalia katika timu yetu. Lakred raia wa Morocco tumemsajili msimu uliopita kutoka FAR

Yusuph Kagoma ni Mnyama
Kiungo mkabaji, Yusuph Kagoma ni mchezaji wetu mpya baada ya kusaini mkataba wa miaka mitatu ya kukitumikia kikosi chetu kutoka Singida Fountain Gate. Kagoma ni

Karaboue Chamou ni Mnyama
Tumefanikiwa kuinasa saini ya mlinzi wa kati Karaboue Chamou raia wa Ivory Coast kutoka klabu ya Racing Club d’ Abidjan kwa mkataba wa miaka miwili.

Valentin Nouma ni Mnyama
Mlinzi wa kushoto Valentin Nouma raia wa Burkina Faso amejiunga nasi kutoka klabu ya St. Eloi Lupopo ya DR Congo kwa mkataba wa miaka mitatu.

Infantino aipongeza Simba Queens
Rais wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) Gianni Infantino ameipongeza timu yetu ya Simba Queens kwa kufanikiwa kuibuka na ubingwa wa Ligi Kuu ya Wanawake

Wachezaji wapewa mafunzo ya awali
Wachezaji wetu leo wamepewa mafunzo ya awali (Orientation) ya kitu gani wanatakiwa kukifanya kabla kuanza maandalizi ya msimu na baadae mashindano yenyewe. Mafunzo hayo yameongozwa