Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Tabora United

Kikosi chetu leo saa 12:15 jioni kitashuka katika Uwanja wa Azam Complex Chamazi kuikabili Tabora United kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya NBC.

Kocha Juma Mgunda amefanya mabadiliko ya wachezaji ya wachezaji wawili ukilinganisha na kile kilichoanza mchezo uliopita dhidi ya Mtibwa Sugar.

Kocha Mgunda amewaanzisha Ladaki Chasambi na Sadio Kanoute na kuwapumzisha Willy Onana na Saido Ntibazonkiza.

Hiki hapa kikosi kamili kilichopangwa:

Ayoub Lakred (40), Israel Patrick (5), Mohamed Hussein (15), Kennedy Juma (26), Che Malone (20), Fabrice Ngoma (6), Edwin Balua (37) Mzamiru Yassin (19), Freddy Michael (18), Sadio Kanoute (8), Ladack Chasambi (36).

Wachezaji wa Akiba:

Hussein Abel (30), Ally Salim (1), David Kameta (3), Hussein Kazi (16), Henock Inonga (29), Abdallah Hamis (13), Saleh Karabaka (23), Pa Omar Jobe (2)

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER