read
news & Articles

Tumefungua Msimu wa 2024/25 kwa ushindi
Mchezo wetu wa kwanza wa Ligi Kuu ya NBC dhidi Tabora United uliopigwa Uwanja wa KMC Complex umemalizika kwa kufanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao

Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Tabora United
Leo saa 10:15 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa KMC Complex kuikabili Tabora United kwenye mchezo wa kwanza wa Ligi Kuu ya NBC. Kocha

Tunaanza rasmi msimu wa Ligi Kuu 2024/25
Saa 10:15 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa KMC kuikabili Tabora United kwenye mchezo wa kwanza wa Ligi Kuu ya NBC msimu wa 202/25.

Timu yafanya mazoezi ya mwisho KMC Complex
Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa KMC kujiandaa na mchezo wa kwanza wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Tabora United utakaopigwa

Kocha Fadlu: Tupo tayari kwa mchezo dhidi ya Tabora
Kocha Mkuu, Fadlu Davids amesema kikosi chetu kipo tayari kwa ajili ya mchezo wa kwanza wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Tabora United utakaopigwa

Mechi ya Simba Queens yasogezwa Mbele
Mchezo wetu wa kwanza wa Ligi ya Mabingwa Afrika Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) dhidi ya FAD Djibouti uliokuwa upigwe kesho sasa utafanyika